HONGERA TBL KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA MAJI KWA JAMII SI BIA TU
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye
thamani ya sh. mil. 25, Mhandisi wa Maji Wilaya ya Geita, Daud Sweka
kwa niaba ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo za kusaidia mradi wa visima
vitatu vya maji safi na salama ya kunywa kwa wakazi wa Kijiji cha
Mkolani-1 wilayani humo hivi karibuni. Katikati ni Meneja Mauzo wa TBL
Geita, Issa Msuya
No comments:
Post a Comment